Kenyans Live

Mume wa Victoria Mutiso aomba washukiwa wasiachiliwe kwa dhamana

Description (show more)

Mume wa marehemu Daktari Victoria Mutiso, Profesa David Ndetei, ameomba mahakama isiwachilie kwa dhamana aliyekuwa mkewe, Rose Mbithe, wanawe Chris Mulwa na Angela Mulwa, pamoja na washukiwa wengine wanne wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya mkewe. Profesa Ndetei ameiomba mahakama kuzingatia ombi lake kabla ya kutoa uamuzi kuhusu kuachiliwa kwa washukiwa hao kwa dhamana.

Share: