Kenyans Live

Wakulima na Wafanyabiashara Washauriwa Kuchukua Bima ya El Niño

Description (show more)

Wakulima na wafanyabiashara wamewashauriwa kuchukua bima ili kujilinda dhidi ya hasara zinazoweza kusababishwa na athari za El Niño.

Share: