Kenyans Live

Wakazi wa Kibwezi Walalamikia Kuongezeka kwa Wizi

Description (show more)

Shughuliza za biashara zilitatizika mjini kibwezi kaunti ya Makueni baada ya wakazi kuandamana wakilalamikia kudorora kwa usalama mjini humo.

Share: