Kenyans Live

Zaidi ya vijana 120,000 wafungwa katika miaka minne

Description (show more)

Zaidi ya Vijana 120,000 wamefungwa jela nchini katika kipindi cha miaka minne iliyopita. Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen amesema kuwa vijana hao walikamatwa kati ya mwaka 2022 na mwaka huu wa 2026. Aidha, Vijana 11,824 kati yao wamefungwa kwa makosa ya uhalifu unaohusishwa na magenge, ugaidi na uhuni. Na kama anavyoarifu Melita Ole Tenges, Murkomen anasistiza kuwa serikali inajitahidi kudhibiti uhuni na kuhakikisha kuna usalama kote nchini.

Share: