Kenyans Live

Familia za watu waliokwama kwenye vifusi vya jumba lililoporomoka zahofia hatima ya wapendwa wao

Description (show more)

Huku operesheni ya kutafuta na kuokoa watu walionasa kwenye vifusi vya jumba lililoporomoka ikiendelea, baadhi ya familia zimeelezea hofu kuhusu hatima ya jamaa zao. Familia hizo, ambazo bado zina matumaini ya kuwapata wapendwa wao wakiwa salama, hata hivyo, zimelalamikia kuchelewa kwa shughuli za uokoaji.

Share: