Kenyans Live

Uamuzi wa kusafiri kwa basi waokoa maisha ya Korir

Description (show more)

Cornelius Korir alikuwa miongoni mwa waumini waliopanga kusafiri pamoja na wenza wake 16 walioangamia katika ajali ya barabarani eneo la Salama. Uamuzi wake wa kupanda basi baada ya kukosa nafasi katika gari lililohusika kwenye ajali uliokoa maisha yake. Francis Mtalaki alikutana na Korir mjini Mombasa baada ya kurejea kutoka Subukia.

Share: