Kenyans Live

Dangote tayari kukabiliana na wanaopinga kiwanda cha Lamu

Description (show more)

Mwekezaji kutoka Nigeria, Aliko Dangote amesema yuko tayari kupambana na wanaopinga ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta kitakachozinduliwa Jumatano katika kaunti ya Lamu. Haya yanajiri huku waziri wa fedha John Mbadi akisema kuwa serikali ilihusisha wakazi wa Lamu kwenye mchakato wa kutoa maoni kuhusu kiwanda hicho na kwamba wanaodai fidia ni matapeli

Share: