Kenyans Live

Kanisa la Kianglikana laitaka serikali kuimarisha mikakati dhidi ya Ebola

Description (show more)

Huku visa vya ugonjwa wa Ebola vikiendelea kuongezeka nchini, kanisa la kiangliana limeitaka serikali kuweka mikakati zaidi ya kuzuia msambao wa maradhi hayo nchini.

Share: