Kenyans Live

KEPSHA yakashifu na uchimbaji wa dhahabu katika wanja wa shule ya Nareng Emunyen kaunti ya Turkana

Description (show more)

Viongozi wa Muungano wa walimu wakuu wa shule za msingi KEPSHA katika kaunti ya Turkana,wameshangazwa na hatua ya wakaazi wanaoishi karibu na shule ya msingi ya Nareng Emunyen iliyoko Turkana kusini,kuingia katika uwanja wa shule hiyo na kuanza kuchimba dhahabu.

Share: