Kenyans Live

Wadau wa afya kaunti ya Turkana waweka mikakati ya kukabili malaria kwa watoto

Description (show more)

Wadau mbalimbali katika sekta ya afya wamekutana mjini Lodwar, Kaunti ya Turkana, kuweka mikakati na kutathmini hatua zilizopigwa katika kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa wa malaria, kwa watoto walio chini ya miaka tisa.

Share: