Walimu wanaostaafu kuanza kulipwa marupurupu baada ya siku-10, asema Rais
56 viewsYouTube
Description (show more)
Rais William Ruto ameagiza kuwa walimu walipwe marupurupu yao ya kustaafu katika muda wa siku 10 baada ya kustaafu. Rais aliyehudhuria maadhimisho ya siku ya walimu duniani ya mwaka huu katika eneo la Kasarani jijini Nairobi alielekeza kuwa utaratibu huo pia utumike kuwalipa wafanyakazi wote wa serikali wanaostaafu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
2:43Ifahamu China I Ziara za Kiteknolojia
· 2 views
1:09Former Nairobi PC Chelogoi jailed for three years in Sh1.3 billion land fraud
· 35 views
1:27Wanafunzi kutoka kaunti kame kunufaika na ufadhili
1:56Vijana eneo bunge la Kamukunji wapokea mafunzo ya ujuzi
2:14Wakazi wa Olkoilanka, Narok wapata kisima cha maji
· 1 views
1:54Vijana watumia ujuzi wao kusafisha, kukarabati shule Gatundu
· 2 views
1:52Wazazi watakiwa kuwalinda wasichana dhidi ya tamaduni potovu
2:08Wanahabari waadhimisha siku ya kukabiliana na dhulma dhidi yao
· 1 views
