Mahakama yabatilisha uuzaji wa asilimia 15 ya hisa za Safaricom
Description (show more)
Mahakama imebatilisha uuzaji wa asilimia 15 ya hisa zinazomilikiwa na serikali katika kampuni ya Safaricom, ikisema mchakato huo ulifanywa kinyume cha Katiba kwa kutowashirikisha wananchi kikamilifu. Majaji watatu wameamuru hisa hizo zilizokuwa zikiuzwa kwa kampuni ya Vodacom ya Afrika Kusini zirejeshwe kwa serikali ya Kenya, huku makubaliano yote yaliyofanywa yakibatilishwa.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:36Kilifi Yaripoti Kuongezeka kwa Saratani, Kesi 10 Zarekodiwa Kila Wiki
· 20 views
2:31Mradi wa Sh4.4 B Kuwasaidia Wakazi 340,000 Kaskazini Kukabiliana na Ukame
· 14 views

1:19Ex-Govt Spokesperson Mwaura calls for inclusion of PWD agenda in country’s political dispensation
· 68 views
2:01Viongozi wa Dini Wataka Udhibiti wa Sifa Kukabili Walaghai Katika Sekta
· 38 views
2:01Mwanasheria Mkuu Aangazia Umuhimu wa AI Katika Kuboresha Huduma Nchini
· 37 views
1:51Sifuna Azuiwa Kuhutubia Wanafunzi JKUAT, Aikosoa Serikali kwa Hatua Hiyo
· 296 views
2:20Wajir Yaongeza Maandalizi ya El Niño, Wadau Wahimizwa Kuimarisha Tahadhari
· 39 views
