Kenyans Live

Mombasa United kukutana na Kariobangi Sharks katika mchujo wa KPL

Description (show more)

Ligi kuu ya kenya ya kandanda hatimaye itaanza baada ya mapumziko ya kimataifa kufuatia mkutano uliofanikiwa ambao uliazimia kuwa na mchujo kati ya kariobangi sharks na mombasa united ili kutathmini timu ya 18 kwenye ligi.

Share: