Kenyans Live

Wakazi wa Tana River wahimizwa kupanda miti na kusafisha mazingira

Description (show more)

Wakazi wa kaunti ya Tana River wamehimizwa kutumia mvua ya vuli kwa kupanda miti mingi na kusafisha mazingira ili kujiepusha na magonjwa yanayotokana na maji chafu.

Share: