Kenyans Live

Polisi wavamia shamba la bangi la ekari 3 Mwingi

Description (show more)

Polisi wamegundua shamba la bangi lenye ukubwa wa ekari tatu katika eneo la Mwingi, Kaunti ya Kitui. Bangi hiyo inakadiriwa kuwa na thamani ya takriban Sh60 milioni, huku mshukiwa wa biashara hiyo akitoroka.

Share: