Kenyans Live

Kwale yaandaa timu za dharura kukabiliana na athari za El Niño

Description (show more)

Kamati za kukabiliana na majanga katika maeneo yanayokumbwa na mafuriko kaunti ya Kwale zimeanza kupokea mafunzo kuhusu mbinu za kukabiliana na matukio ya dharura.

Share: