Kenyans Live

Hospitali ya Emurua Dikirr yapandishwa hadhi kuwa Level Four

Description (show more)

Hospitali ya Emurua Dikirr imepata rasmi hadhi ya Level Four kufuatia mchakato wa karibu miaka mitatu wa Serikali ya Kaunti ya Narok wa kuiboresha hadi viwango vinavyohitajika.

Share: