Kenyans Live

Mwanafunzi Rhodelix Kyalo wa Ilbissil, Kajiado, aanza kuuza maji baada ya kukosa karo ya chuo

Description (show more)

Rhodelix Kyalo wa Ilbissil, Kajiado, anafanya kazi ya kuuza maji baada ya kukosa karo ya kujiunga na chuo kikuu kusomea udaktari. Mwanafunzi huyo anakabiliwa na changamoto ya kupata fedha za kumwezesha kuendelea na masomo.

Share: