Kenyans Live

Mikakati yawekwa ya kukarabati mfumo uliopo wa majitaka Naivasha

Description (show more)

Zaidi ya shilingi bilioni 10 zinahitajika kufanya ukarabati na kuboresha mfumo uliopitwa na wakati wa maji taka na usafi wa mazingira mjini Naivasha, ambao kwa sasa unawafikia asilimia 16 pekee ya wakazi wa eneo hilo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: