Kenyans Live

Ruto amtaka Kalonzo Musyoka kujiunga na serikali yake

Description (show more)

Rais William Ruto ameanza ziara yake ya siku nne katika eneo la Ukambani, akimtaka kinara wa Wiper, Kalonzo Musyoka, kuondoka upinzani na kujiunga na serikali yake. Rais ameanza ziara hiyo kwa kuzindua miradi kadhaa ya maendeleo katika kaunti za Machakos, Makueni na Kitui.

Share: