Afisi ya ODPP kuhakikisha uchunguzi wa afya ya akili kwa washukiwa wa mauaji ya Dkt Mutiso unafanywa
Description (show more)
Mahakama kuu ya Milimani imeipa afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma (ODPP) hadi Jumanne ijayo kuhakikisha kuwa konstebo wa polisi Collins Bett na Pius Muiru Mbugua wanafanyiwa uchunguzi wa afya ya akili kabla ya kusomewa rasmi mashtaka ya mauaji ya daktari wa matatizo ya kiakili, Dkt. Victoria Nthunya Mutiso. Uamuzi huo umetolewa na Jaji Alexander Muteti baada ya upande wa mashtaka kuomba wawili hao wazuiliwe kwa siku 21 ili kukamilisha uchunguzi huo. Aidha, upande wa mashtaka umesema unakusudia kuunganisha kesi hii na kesi nyingine ya mauaji inayomhusisha mwanasiasa Rose Mbithe Mulwa, watoto wake wawili na washukiwa wengine wawili, ambao wote wanahusishwa na kifo cha Dkt. Victoria aliyeuawa kwa kupigwa risasi tarehe 29 mwezi Julai mwaka huu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
1:31:25The Last Word | Who is responsible for Nairobi's deadly buildings?
1:54Kenya records decline in fertility rate
33:09🔴LIVE || TV47 HABARI naye Andrine Kilemi || TV47KENYA
59:41Investing in Kenya: Opening a new chapter for the economy
2:29Kenya women’s rugby team clinches historic Youth Olympic gold
2:36Internal auditors urged to strengthen oversight of public funds
2:21Traders oppose new marine cargo insurance rules at Namanga border
1:56