Kenyans Live

Wakazi katika kaunti ya Nandi wahimizwa kupanda miti kukabiliana na athari za ukame

Description (show more)

Wakazi wa Kaunti ya Nandi wamehimizwa kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la upandaji miti katika maeneo mbalimbali ya misitu wakati wa kuadhimisha Siku ya Mazingira, huku wasiwasi ukizidi kuongezeka kuhusu ukame wa muda mrefu unaoendelea kushuhudiwa katika sehemu mbalimbali nchini.

Share: