Kenyans Live

Methamphetamine ya KSh 8.2B yaharibiwa Mombasa

Description (show more)

Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen ameongoza zoezi la kuharibiwa kwa shehena ya methamphetamine yenye thamani ya KSh 8.2 bilioni iliyokamatwa kwenye meli katika Bandari ya Mombasa.

Share: