Kenyans Live

Uhaba wa maji Magadi: Baadhi ya shule zakabiliwa na hatari ya kufungwa

Description (show more)

Serikali imeanza kuchukua hatua za dharura kukabiliana na uhaba mkubwa wa maji katika eneo la Magadi huko Kajiado magharibi .

Share: