Kenyans Live

Matumizi ya mashine katika kilimo yatajwa kuwa nguzo ya kuongeza uzalishaji

Description (show more)

Matumizi ya mashine katika kilimo yametajwa kuwa nguzo ya kupunguza gharama ya uzalishaji, kuboresha utendakazi na kuongeza mapato. Wadau wa sekta ya kilimo wanasema upatikanaji wa mikopo ya riba nafuu utawawezesha wakulima kununua mashine zinazoweza kurahisisha kazi. Kwa upande wao, wauzaji mashine za kilimo wanajizatiti kulanisha taratibu za ununuzi wa trekta na pembejeo nyingine za kilimo zikiwalenga wakulima wanaotafuta mbinu mbadala za kupunguza Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: