Watu wawili waokolewa kutoka vifusi vya jumba lililoporomoka Eastleigh
Description (show more)
Watu wawili wameokolewa kutoka kwenye vifusi vya jumba la ghorofa 18 lililoporomoka jana katika mtaa wa Eastleigh, jijini Nairobi. Vikosi vya uokoaji vilimfikia mwanamume mmoja baada ya kukwama chini ya vifusi kwa saa 27, huku mwanamke mwingine akiokolewa dakika chache baadaye. Manusura hao wamekimbizwa hospitalini kwa matibabu huku operesheni ya kuwatafuta watu wengine wanaoaminika kunaswa kwenye vifusi ikiendelea.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:24
3:01
1:32Kambi thedho sitima KenGen onyiso joma odak but yewni mondo odar
3:41
1:55Okenge imedo keti mar geng'o midhiero mag oula Busia
1:44Jotelo ma Kericho dwani wil apisa mag arita kaluwore kod medruok njore
1:27Kampuni ya KenGen yawataka wakazi karibu na mabwawa ya Mto Tana kuhamia maeneo salama
· 16 views
6:07BREAKING: Waititu sentenced to 13 years or KSh 21M fine in Sh588M graft case
· 23 views
