Kenyans Live

Malindi High Kujengewa Jumba la Maakuli

Description (show more)

Hazina ya maendeleo ya maeneo bunge NG - CDF eneo bunge la Malindi inalenga kutumia takriban shilingi Milioni 100 kuboresha miundomsingi ya shule ya wavulana ya Malindi high, ili kuipandisha hadhi hadi ngazi ya kitaifa.

Share: