Kenyans Live

Ukame wawalazimu wanaume Mwingi kaunti ya Kitui kutafuta maji kwa punda

Description (show more)

Huku msimu wa kiangazi ukielekea ukingoni na wakazi wa Mwingi wakisubiri mvua za El Niño, baadhi ya wanaume katika eneo hilo wameanza kuchukua majukumu ambayo kwa kawaida hufanywa na wanawake, ikiwemo kutafuta maji kwa kutumia punda.

Share: