Kenyans Live

Kapu la Biashara | Wakenya matajiri kuepuka kuwekeza kwenye ardhi na majengo

Description (show more)

Watunga sera, wawekezaji na viongozi wa masoko ya fedha wanaangazia  namna nchi za Afrika zinavyoweza kutumia rasilimali za ndani za uwekezaji kufadhili miundombinu, nishati, ustahimilivu dhidi ya mabadiliko ya tabianchi na uundaji wa ajira. Wajumbe katika Mkutano wa Tatu wa Masoko Endelevu ya Mitaji jijini Nairobi wanasema kuwa, licha ya wawekezaji wa kitaasisi barani Afrika kusimamia mali zenye thamani ya dola trilioni 4 kupitia mifuko ya pensheni, makampuni ya bima, benki na hazina za  utajiri wa taifa, ni takriban asilimia 2.7 pekee ndiyo inayowekezwa katika sekta zenye tija kama vile miundombinu. Haya hapa  maelezo ya habari hii na nyingine katika kapu letu la biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: