Mvutano wa kisiasa wavuruga mazishi ya Burudi Nabwera Trans Nzoia
Description (show more)
Joto la kisiasa lilitanda wakati wa mazishi ya aliyekuwa balozi na waziri msaidizi Burudi Nabwera nyumbani kwake eneo la Kiminini, Kaunti ya Trans Nzoia. Hali hiyo ilijiri baada ya mvutano wa maneno kuzuka kati ya Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya na Mbunge wa Kiminini Kakai Bisau, hali iliyosababisha shughuli za mazishi kusimamishwa kwa muda. Familia ya marehemu ilisisitiza kutekelezwa kwa wosia wake wa kuzikwa kabla ya saa nane alasiri.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:24
3:01
1:32Kambi thedho sitima KenGen onyiso joma odak but yewni mondo odar
3:41
1:55Okenge imedo keti mar geng'o midhiero mag oula Busia
1:44Jotelo ma Kericho dwani wil apisa mag arita kaluwore kod medruok njore
1:27Kampuni ya KenGen yawataka wakazi karibu na mabwawa ya Mto Tana kuhamia maeneo salama
· 16 views
6:07BREAKING: Waititu sentenced to 13 years or KSh 21M fine in Sh588M graft case
· 23 views
