Chama cha PM chapinga kuondolewa kwa sharti la matangazo mubashara ya matokeo ya uchaguzi
Description (show more)
Bunge la kitaifa limepitisha mswada wa marekebisho ya sheria ya uchaguzi ya 2024, na kuondoa kipengee kilichoishurutisha IEBC kupeperusha matokeo ya uchaguzi mubashara. hata hivyo, Chama cha PM kinasema hakitakubali vyombo vya habari kuzuiWa kupeperusha matangazo ya matokeo ya uchaguzi mkuu moja kwa moja.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:43Ifahamu China I Ziara za Kiteknolojia
· 2 views
1:09Former Nairobi PC Chelogoi jailed for three years in Sh1.3 billion land fraud
· 35 views
1:27Wanafunzi kutoka kaunti kame kunufaika na ufadhili
1:56Vijana eneo bunge la Kamukunji wapokea mafunzo ya ujuzi
2:14Wakazi wa Olkoilanka, Narok wapata kisima cha maji
· 1 views
1:54Vijana watumia ujuzi wao kusafisha, kukarabati shule Gatundu
· 2 views
1:52Wazazi watakiwa kuwalinda wasichana dhidi ya tamaduni potovu
2:08Wanahabari waadhimisha siku ya kukabiliana na dhulma dhidi yao
· 1 views
