Kenyans Live

Mkewe aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa KBC Eunice Anabwani afanyiwa ibada ya wafu

Description (show more)

Familia, jamaa, marafiki na wafanyakazi wenza walikusanyika katika kanisa la CITAM Karen jijini Nairobi kwa ibada ya wafu ya kusherehekea maisha ya Eunice Anabwani,aliyeaga dunia tarehe 9 mwezi huu akiwa na umri wa miaka 82. Eunice,mkewe aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa shirika la Utangazaji nchini KBC Simeon Anabwani,anakumbukwa kwa upendo kwa familia yake, maisha yake ya taaluma na na mfanyabiasahra na mkulima kwa miaka mingi.Atazikwa jumamosi ijayo tarehe 19 shambani mwake Kilingili,Bunyore, kaunti ya Vihiga. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: