Nyakango arejea mahakamani kuomba ufafanuzi kuhusu utoaji wa basari za kaunti
Description (show more)
Mdhibiti wa Bajeti Margaret Nyakango, amerejea mahakamani kutafuta ufafanuzi kuhusu iwapo serikali za kaunti zinaweza kuendelea kutoa basari. Nyakango anataka ufafanuzi wa dharura wa mahakama kuhusu iwapo maombi ya magavana ya fedha za ufadhili wa masomo kwa mwaka wa kifedha wa 2026/2027, yanafaa kuidhinishwa au la. Mahakama ilisitisha utoaji wa basari mwezi Juni baada ya kubainika kuwa basari za kaunti ni kinyume na Katiba.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:55Jopuonj mag JSS ochwalo ng'ur ma gisebedo ka gikale
1:30
1:48ORPP na wadau wahimiza vyama vya kisiasa kuendesha chaguzi za mchujo kwa uwazi
· 3 views
1:20Riwruok mar jochiw thieth KUCO, Uasin Gishu dhi nyime gi ng'anyo
1:29Wawakilishi wadi kaunti ya Nandi wataka hatua kali kuchukuliwa dhidi ya viongozi wachochezi
· 7 views
1:12:20Kũmuramura Magathĩti #INooroRūciinĩ
· 30 views
1:09
1:54Wanawake Garbatula waimarisha vita dhidi ya ukeketaji wakati wa likizo za shule
· 8 views
