Kenyans Live

Wakazi wa Faza waandamana kutaka kurejeshewa umeme

Description (show more)

Wakazi wa Faza kaunti ya Lamu, wameandamana kwa amani wakitaka kampuni ya kenya power irejeshe umeme baada ya kukosa huduma kwa zaidi ya siku saba.

Share: