Wenye baa Kajiado wadai kuhangaishwa na maafisa wa polisi
Description (show more)
Kundi la wwenye vilabu vya pombe katika kaunti ya Kajiado linadai linahitaji ulinzi kutoka kwa maafisa wa polisi wanaowahangaisha wakati wa operesheni inayoendelea dhidi ya pombe haramu. Wakiongea wakati wa mkutano baina yao na maafisa wa usalama, wanachama wa chama cha wenye mabaa katika eneo la Kajiado Mashariki wakiongoza na mwenyekitiFredrick Chege, waliwashutumu baadhi ya maafisa wa usalama kwa madai ya kuhusika kwenye biashara ya pombe na kuwaitisha hongo ya shilingi 300 kwa siku. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
2:53
2:21MUTURI: Gachagua chandowa | #RamogiTV
1:39
3:25Sakaja joins ODM, sets sights on 2027 re-election bid
2:01Six killed, five injured in accident on Narok-Njoro Road
3:02Moyale: 65-Year-Old woman shot dead as Ethiopia conflict spills over to Kenya
2:07MUTURI: Gachagua chandowa | #RamogiTV
4:04