Kenyans Live

Moto wateketeza maduka zaidi ya 10 Ibiza, Ukunda kaunti ya Kwale

Description (show more)

Mali ya thamani isiyojulikana iliteketetea baada ya moto mkubwa kutekekeza maduka zaidi ya kumi katika eneo la kibiashara la Ibiza huko Ukunda kaunti ya Kwale jana jioni.

Share: