Kenyans Live

Wanafunzi wa UoN wataka Waziri Ogamba ajiuzulu

Description (show more)

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Nairobi waliandamana wakimtaka Waziri wa Elimu, Migos Ogamba, ajiuzulu kwa kile walichokitaja kuwa kushindwa kutatua mgomo wa wahadhiri.

Share: