Gladys Wanga akosoa kundi la Sifuna kwa madai ya kudhalilisha urithi wa Raila Odinga
Description (show more)
Mwenyekiti wa Kitaifa wa Chama cha ODM, Gladys Wanga, amekosoa kundi linaloongozwa na Edwin Sifuna, akiwashutumu kuwa "watu wa mkono" na kudai kwamba wanadhalilisha maadili ya aliyekuwa kiongozi wa chama hicho hayati Raila Odinga. Akizungumza huko West Kasipul wakati wa hafla ya kukabidhi basi kwa Chuo cha Ufundi cha Rachuonyo , Wanga alikosoa ushirikiano wa hivi karibuni wa kundi hilo na aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:19Ruto allies challenge opposition ahead of 2027 election
13:20Charity Muthoni Highlights Forest Conservation and and Illegal Logging
· 3 views
2:49IG Kanja ordered to appear in court over missing Tanzanian activist
· 35 views
3:00
3:35Kenyan journalists decry attacks and impunity as 13 complaints filed with IPOA
· 15 views
53:27LIVE | OIMORE | 02/11/2026
· 4 views
1:04KenGen secures Sh10.5B funding for a battery storage for excess wind and solar power
· 14 views
1:15Nakuru Truck Driver Wins KSh 102M SportPesa Jackpot After Correctly Predicting 15 Matches
· 25 views
