Kenyans Live

Wakulima Laikipia kupata pembejeo za kilimo kwa bei nafuu

Description (show more)

Wakulima katika kaunti ya Laikipia wanahimizwa kutumia fursa ya pembejeo za kilimo zinazotolewa kwa bei nafuu kabla ya mvua ya El Niño inayotarajiwa. Naibu Gavana wa kaunti ya Laikipia Reuben Kamuri amewahimiza wakulima kujisajili na maafisa wa kilimo ili kunufaika na pembejeo hizo Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: