Kenyans Live

Idadi ya watu waliofariki baada ya lori kuanguka na kushika moto Turbo yafikia 6

Description (show more)

Idadi ya watu waliofariki kwenye mkasa wa lori la mafuta lililoteketea huko turbo imefikia watu sita,baada ya majeruhi mwingine kufariki akipokea matibabu katika hospitali ya mafunzo na rufaa ya moi jijini eldoret.

Share: