Kenyans Live

Kaunti ya Kakamega yapokea dawa, vifaa vya upangaji uzazi

Description (show more)

Kaunti yaKakamega inalenga kupunguza udhaifu ulioko katika upatikanaji huduma za upangaji uzazi kutoka asilimia 14 hadi asilimia 9. Hii ni baada ya kupokea msaada wa vifaa vya thamani ya shilingi milioni 3.5. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: