Jiji la Kisumu kuandaa makala ya 24 ya kongamano la talanta ulimwenguni
Description (show more)
Jiji la Kisumu litakuwa mwenyeji wa makala ya 24 ya kongamano la talanta ulimwenguni litakaloandaliwa baadaye mwezi huu. Kongamano hilo chini ya kauli mbiyu “Talanta Yangu, Utambulisho Wangu” inanuiwa kukuza talanta miongoni mwa vijana wa humu nchini na maeneo mengine kwa kuwaunganisha na wafadhili na washauri. Watafiti wanatarajiwa kuonesha mitindo na mifumo mipya inayohitajika katika mafunzo ya talanta. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
2:53
2:21MUTURI: Gachagua chandowa | #RamogiTV
1:39
3:25Sakaja joins ODM, sets sights on 2027 re-election bid
· 88 views
2:01Six killed, five injured in accident on Narok-Njoro Road
3:02Moyale: 65-Year-Old woman shot dead as Ethiopia conflict spills over to Kenya
· 32 views
2:07MUTURI: Gachagua chandowa | #RamogiTV
4:04Muturi accuses Gachagua of bullying and tribal politics in opposition
· 160 views
