Kenyans Live

Aliyekuwa mwanariadha Betty Murugi ahamishwa Hospitali ya Kenyatta kwa matibabu maalum

Description (show more)

Aliyekuwa mwanariadha Betty Murugi amehamishwa hadi katika hospitali ya kitaifa ya rufaa na mafunzo ya Kenyatta ambako anatarajiwa kupata matibabu maalum.

Share: