Kenyans Live

Gavana Ntutu awarai maskwota wa Msitu wa Mau wawe na subira

Description (show more)

Gavana wa Kaunti ya Narok Patrick Ole Ntutu amewarai maskwota waliofurushwa kutoka wadi ya Melelo katika Msitu wa Maasai Mau huko Narok Kusini kuwa na subira huku serikali ikithibitisha wanufaika.

Share: