Kenyans Live

Mjane wa Dkt. Victoria Mutiso ahofia usalama wake washukiwa wakiachiliwa kwa dhamana

Description (show more)

Profesa David Ndetei, mjane wa Dkt. Victoria Mutiso aliyeuawa kwa kupigwa risasi mwezi Julai, ameiambia mahakama kuwa anahofia usalama wake iwapo mkewe wa zamani, Rose Mbithe, wanawe na washukiwa wengine wanne wataachiliwa kwa dhamana. Profesa Ndetei ameeleza kuwa maisha yake yatakuwa hatarini, akiwasilisha hati ya kiapo inayoelezea madai ya vitisho kutoka kwa Mbithe na wanawe, akidai kuwa wanataka kumnyang’anya mali zake.

Share: