Kenyans Live

KTB yazindua kampeni ya 'Hapa Ni Wapi' Samburu

Description (show more)

Serikali kupitia bodi ya utalii imezidua kampeni ya kuimarisha utalii nchini kwa jina "Hapa ni wapi". Kampeni hiyo ilizunduliwa katika Mbugua ya Samburu na Msimamizi Mkuu wa KTB June Chepkemei.

Share: