Kenyans Live

Watu 3 wateketea hadi kufa katika ajali ya lori, Turbo

Description (show more)

Idadi ya Watu waliofariki kutokana na ajali iliyotokea karibu na shule ya upili ya vijana ya Paul Boit,eneo bunge la Turbo kaunti ya Uasin Gishu,barabara kuu ya Eldoret Webuye,imefikia watatu hii ni baada ya majeruhi mmoja kufariki akipokea matibabu katika hospitali ya Mafunzo na rufaa ya Moi. Majeruhi wengine ishirini na watatu wanaendelea kupokea matabibu katika hospitali hiyo .

Share: