Kenyans Live

Viongozi wa Narok wataka wazee kuhubiri amani eneo la Esoit

Description (show more)

Kamishna wa Kaunti ya Narok na Gavana Patrick Ole Ntutu wote waliongoza walisisitiza umuhimu wa wazee wa jamii na koo katika eneo la Esoit, ambalo limegubikwa na mapigano, kuhubiri amani.

Share: