Kenyans Live

Masengesho Yvonne wa Rwanda ashinda mbio za muda binafsi kwa wanawake chipukizi

Description (show more)

Mwendesha baiskeli Masengesho Yvonne wa Rwanda ameibuka mshindi katika kitengo cha mbio za muda binafsi kwa wanawake chipukizi kwenye Mashindano ya Afrika ya Baiskeli za Barabarani yanayoendelea katika Kaunti ya Kisumu.

Share: