Kenyans Live

Rais ahitimisha ziara Nyanza, awarai wakazi kuunga mkono azma yake ya kuchaguliwa tena

Description (show more)

Ziara ya kikazi ya siku nne ya Rais William Ruto katika eneo la Nyanza ilifikia tamati leo ambapo alizuru  Kaunti ya Homa Bay na kuzindua miradi kadhaa ya maendeleo huku akilitaka eneo hilo kuunga mkono azma yake ya kuchaguliwa tena. Rais, akiwa ameandamana na viongozi wa chama cha ODM, alisisitiza kuwa serikali jumuishi  ndiyo muundo pekee wa kisiasa wenye uwezo wa kuliongoza taifa kufikia kiwango cha nchi iliyostawi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: